Kufuatia mashambulizi ya Israel katika mji mkuu wa Qatar, Doha kuwalenga viongozi wa Hamas, juhudi za kuunda muungano wa kijeshi unaofanana na NATO miongoni mwa nchi za Kiarabu zinaonekana kushika ...
Chanzo cha picha, Syrian Presidency / Handout/Anadolu via Getty Images Mwaka mmoja tangu Ahmed al-Sharaa, aliyewahi kuwa kamanda wa kundi la Kiislamu Tahrir al-Sham na kiongozi wa "Dola ya Uokozi" ...