Mtaalamu wa upasuaji wa neva Dkt Susan Mackinnon alipohitaji usaidizi wakati wa upasuaji alitumia kitabu kilichoandikwa karne ya 20 kinachoelezea mfumo wa mwili wa binadamu. Kwa kutumia Michoro migumu ...