Najua huenda hujaendesha gari la umeme au hata hujawazia kununua gari hilo, utabiri wangu unaweza kuonekana kuwa na ujasiri, lakini nivumilie. Tuko katikati ya mapinduzi makubwa katika ulimwengu wa ...
AMG, kitengo cha magari ya michezo ya Mercedes-Benz, kimezindua gari aina ya GT XX, ambayo inatarajiwa kuanza kuuzwa mwaka ujao. Gari ya umeme ya milango minne ambayo ina (Horsepower) kasi ya injini ...
Maonyesho ya kimataifa ya magari yalianza Februari 5 nchini Indonesia, ambako mauzo ya magari ya umeme yanaongezeka kwa kasi ...
Kwa nusu karne, watengenezaji magari wa Japani walikuwa mstari wa mbele katika tasnia ya magari duniani. Kampuni zenye majina makubwa kama vile Toyota na Honda zilianzisha teknolojia mpya bila kuchoka ...
Makampuni sita ya magari yataahidi kusita kutengeneza magari yanayotumia mafuta ifikapo mwaka 2040, katika mkutano wa kilele wa mabadiliko ya tabianchi COP26 ili kupunguza uzalishaji wa gesi chafu.
Kansela Friedrich Merz ataongoza kikao cha dharura na viongozi wa sekta ya magari ya Ujerumani kujadili hatma ya viwanda vinavyoyumba, marufuku ya injini za mwako ifikapo 2035, ushindani kutoka China ...
Wananchi wa Kata ya Kilosa na Mbambabay, wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma, wameipongeza Wizara ya Mambo ya Ndani, kuona umuhimu wa kuwapelekea gari la zimamoto. Gari hilo limetolewa mwishoni mwa wiki na M ...
Donald Trump ameagiza magari makubwa ya kijeshi pamoja na ndege kushiriki katika gwaride la kijehi litakaloshuhudiwa na maelfu ya raia nchini Marekani. Donald Trump anataka jeshi litumie vifaa vyake ...
Ikiwa imesalia mwaka mmoja tu kandarasi ya sasa ya Safari Rally kwenye mashindano ya dunia WRC kutamatika, washikadau, wafanyabiashara na mashabiki wanaitaka serikali ya Kenya kurefusha mkataba wake ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results