Jackie Keya ni mama ya kambo katika familia ya watoto wanne alijipata katika hali hii baada ya kuingia kwenye ndoa na mume wake zaidi ya miaka 20 iliyopita, wakati walipokutana ,tayari mume wake ...
Victoria Itenyo ni mama na mwanaharakati wa haki za watoto na pia anatoa ushauri nasaha juu ya masuala yanayohusu watoto na vijana nchini Kenya. Hatua hii ya kushughulikia afya ya akili kwa watoto na ...
Mahakama moja ya Uingereza imetoa hukumu ya kifungo cha maisha kwa baba na mama wa kambo wa mtoto wa miaka 10 raia wa Uingereza mwenye asili ya Kipakistani aliyekufa baada ya kuteswa kwa muda mrefu.