Mbunge mweusi wa Afrika Kusini amejitetea kuwa alimpiga ngumi mbunge mwanamume baada ya kudaiwa kumtusi matusi ya ubaguzi wa rangi. Phumzile van Damme kutoka chama cha upinzani cha Democratic Alliance ...
Mwanamuziki wa Uganda aliyegueka kuwa mwanasiasa Bobi Wine amepigwa na vikosi vya usalama na hawezi kuzungumza wala kutembea , mawakili wake wanasema. Mbunge huyo wa upinzani amefikishwa mbele ya ...
Mbunge huyo anaejulikana kwa jina la Ahmed Mahmud Hayd, ambaye aliwahi kua waziri na afisa wa cheo cha juu katiaka jeshi la Somalia, ameuawa mapema asubuhi katika mtaa wa bandari, moja ya maeneo ...
Mouhamadou Ngom, anayejulikana kama Farba, pia meya wa wilaya ya kaskazini mwa nchi, amesikilizwa na jaji kutoka kitengo cha mahakama ya kifedha (PJF), chombo cha kupambana na rushwa, kilichomfunga, ...
Jeshi la polisi nchini Tanzania limemhoji aliekuwa naibu waziri wa Katiba na Sheria Pauline Gekul kwa tuhuma za kumfaynika ukatili mfanyakazi ambaye amedai aliingizwa chupa kwenye sehemu za siri ...
Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima amefika mbele ya Kamati ya Kudumu ya haki, maadili na madaraka ya bunge mjini Dodoma akiitikia wito wa Spika wa bunge la Tanzania, Job Ndugai kujibu ...
Mbunge wa Ngara, Doto Bahemu, amefanya ziara ya kukagua miundombinu ya barabara iliyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha ...
Mbunge wa Jimbo la Kibiti mkoani Pwani, Amina Mussa Mkumba, ameahidi kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuhakikisha wakazi wa jimbo hilo wananufaika na maendeleo endelevu.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results