Wakati Ligi Kuu ikiwa katika mapumziko ya wiki mbili kupisha michezo ya kalenda ya Fifa na timu za Taifa, hadi Yanga na Simba zimefuzu kushiriki mashindano ya CAF, lakini bado hazijajua ...
Baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa kwa ajili ya vilabu kufanya usajili ili kuimarisha vikosi vyao, kuuza au kuachana na wachezaji mbalimb... Vilabu kadhaa vya ligi kuu tanzania bara pamoja ...
Mabingwa watetezi wa taji la CECAFA miongoni mwa vlabu ya Afrika Mashariki Azam FC ya Tanzania, inachuana na Simba FC pia ya Tanzania katika fainali ya michuano ya mwaka huu. Mechi hii itachezwa saa ...
STRAIKA wa Pamba Jiji, Methaw Tegisi amesema moja ya ndoto zake katika soka la kulipwa nchini ni kuitumikia Azam, huku akibainisha anatamani kucheza sambamba na kiungo Feisal Salum ‘Fei ...
Mtaani raia husema, ‘ni noma sana’ , sasa ni hivi..! Pambano la watani wa jadi nchini Tanzania kati ya Simba na Yanga lazima lipate mshindi. Bila shaka huzuni na butwaa litawakumba mashabiki wa timu ...
Wadada mlinzi wa pembeni amesajiliwa kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea klabu ya Vipers ya Uganda. Kabla ya kusajiliwa na Azam, Wadada pia alikuwa akitajwa kuwaniwa na Simba na Yanga. Anakuwa ...