Kwa mara nyingine, Waziri wa Elimu nchini Tanzania Profesa Joyce Ndalichako, ametoa tamko linalozua mjadala mkali nchini humo. Mara hii, ikiwa yaliyomo katika Hotuba yake yatatekelezwa, utakuwa mwisho ...
Pacha walioungana, Maria na Consolata wamejawa na furaha baada ya kufaulu mitihani yao ya mwisho ya kidato cha sita, katika shule ya Sekondari ya Udzungwa mjini Iringa, Kusini magharibi mwa Tanzania.