‎Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji, madaktari, wauguzi, wahudumu wa afya na wakuu wa taasisi zote zilizo chini ya wizara hiyo kutoa huduma kwa haki na lugha za staha kwa wananchi.
DAWATI la Jinsia na Watoto Mkoa wa Kipolisi Ilala limebaini matukio ya vijana kujichua, kujirekodi picha za utupu na kurusha mtandaoni yameongezeka, jambo ambalo ni ukatili na hatari kwa afya.
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imemuhukumu kunyongwa hadi kufa 'Death by hanging' Abdalah Mussa maarufu Mr. bluu, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa makusudi Ezenia Kamana kwa ...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuanza kwa operesheni maalum ya kusaidia meli zilizokwama katika malango wa Hormuz, akieleza kuwa ni msaada wa kibinadamu kwa mataifa yasiyohusika moja kwa ...
MJUMBE wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, Prof. Ibrahim Juma, amesema katiba inasema wazi kwamba kila mtu anahaki ya kuwa na maoni na kwamba kuna watu ambao ndio wanataka ...