News

Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan amewaongoza Watanzania kuadhimisha Siku ya Mashujaa. Baada ya kuwasili katika Uwanja wa ...
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta uamuzi wa kumfuta uanachama na kumuondoa Mbatia katika nafasi ya uenyekiti wa taifa wa NCCR Mageuzi, ikisema uamuzi huo ulikuwa batili kisheria.