Dodoma. Serikali inatarajia kujenga shule 103 za sekondari za elimu ya amali nchini ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi ...
Same. Zaidi ya wanafunzi 30 wa Shule ya Sekondari ya Tumaini Jema, wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro waliojeruhiwa kwa ...
Wakati baadhi ya watu wakiwekeza fedha kwenye kampuni za upatu, imeelezwa kuwa, ukuaji wa teknolojia unakuja na fursa nyingi, ...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini nchini kuendelea kukemea vitendo vinavyochangia mmomonyoko wa ...
Ilipopata ithibati ya kimataifa kama Mwajiri Bora wa Mwaka 2025 nchini kutoka kwa mamlaka ya rasilimali watu ya kimataifa, ...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi , hatua ambayo imewaibua wadau wakionyesha njia sahihi ...
Shahidi wa 11 katika kesi ya mauaji ya Josephine Mngara (30), aliyeuawa kwa kuteketezwa kwa moto, E7657 D/SGT Hassan ...
Uamuzi wa raia wa Burundi, Isaka Erick (20) kukiri kosa la kuua bila kukusudia, umemuokoa na adhabu ya kifo iwapo ingethibitishwa alilitenda kwa kukusudia na akatiwa hatiani.
Wakati miili ya marehemu waliofariki kwa ajali jana kwenye ziara ya chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mbeya, majeruhi ...
Wakati Sifael Shuma (92)aliyekuwa mmoja wa vijana wanne walioshiriki tukio la kuchanganya udongo, Aprili 26,1965,akizikwa ...
Adhabu hiyo haimhusu Slot pekee bali pia meneja msaidizi Sipke Hulshoff ambaye naye alishiriki tukio hilo la kumzonga na ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewaagiza wakurugenzi na wakuu wa wilaya nchini, kuanzisha utaratibu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results