News

Balozi Polepole aliandika barua ya kujiuzulu Julai 13, 2025, kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan akitaja sababu ni ...
Tabia ya baadhi ya wanaume kujichua, jamii imekuwa na dhana kwamba inahusiana moja kwa moja na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume (battery ya kiume), huku ikielezwa kuwa na uwezekano ...
Arsenal imeanza vyema maandalizi ya msimu mpya baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya AC Milan kwenye Uwanja wa Taifa wa Singapore, bao pekee likifungwa na Bukayo Saka ...
Joto linaongezeka kwa sababu katika kura za maoni za kuwapata madiwani wa viti maalumu, wapo wanaoungwa mkono na watiania wa ubunge, uwakilishi na udiwani wa kata.
Mwananchi imezungumza na wataalamu sambamba na kurejea maandiko ya kiusalama wa mtandao na kubaini hatari hiyo inawezekana ...
Frank alifariki dunia Julai 19,2025 baada ya kupigwa risasi katika eneo la makutano ya barabara ya mzunguko Ntyuka jijini ...
Maofisa tarafa pamoja na watendaji wa kata wa Mkoa wa Lindi wametakiwa kuonyesha nidhamu, maadili mema, na weledi wa hali ya ...
Wakati taifa likielekea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, waandishi wa habari kisiwani hapa wametakiwa kuzitumia ...
Wizi wa karafuu umezua hofu kubwa kwa wananchi wa Shehia ya Mgelema, Wilaya ya Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba.
Mkapa alifariki dunia usiku wa Julai 24, 2020 jijini Dar es Salaam akiwa na miaka 81 baada ya kuugua ghafla. Mwili wake, ...
Serikali imehimizwa kutumia wazee wa mila katika juhudi za kulinda mazingira, kwani bila ushirikiano wao hali inaweza kuwa mbaya zaidi na migogoro kuongezeka.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemruhusu Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya nchini (DCEA), ...