News
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 22, 2025 kutoa hukumu kesi ya mauaji ya mwanafamilia inayomkabili Sophia ...
Zaidi ya washiriki 300 wanatarajiwa kushiriki kwenye kongamano la kitaaluma kuhusu nafasi ya ubia katika kufanikisha malengo ...
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta uamuzi wa kumfuta uanachama na kumuondoa Mbatia katika nafasi ya uenyekiti wa taifa wa NCCR Mageuzi, ikisema uamuzi huo ulikuwa batili kisheria.
Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan amewaongoza Watanzania kuadhimisha Siku ya Mashujaa. Baada ya kuwasili katika Uwanja wa ...
Ujenzi wa kituo cha Ubungo umegharimu Sh282.7 bilioni hadi sasa huku asilimia 98.9 ya fedha hizo imetumika kwenye ujenzi na ...
Rapa wa Marekani, Cardi B (32) ameshtakiwa kwa kosa la shambulio la kupiga kufuatia tukio la kumpiga na kipaza sauti (maiki) ...
Mwili wa Florid ulikutwa katika Msitu wa KDF, wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro ukiwa umefungwa kwenye mfuko wa salfeti.
Kwa mujibu wa upande wa mashtaka, mshtakiwa alitenda kosa hilo Juni 23, 2025, katika mtaa wa Lumwago wilayani Mufindi.
Wakati huohuo imeelezwa kuwa ni hatari kuuza dawa za binadamu kuuzwa maeneo yasiyoruhusiwa kwani kunahatarisha afya za ...
Kwa wale ambao si wazaliwa wa Jiji la Dar es Salaam, kila mmoja ana simulizi yake ya namna alivyopokewa na mwenyeji wake ...
Dodoma. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeita mkutano Mkuu Maalumu kesho Jumamosi Julai 26, 2025. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewaambia waandishi wa habari kuwa lengo la ...
De Reuck anategemewa kuziba pengo la Che Fondoh Malone ambaye ameachana na timu hiyo na kujiunga na USM Alger ya Algeria.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results