News

Dar es Salaam. Mfanyabiashara Shafii Mkwepu (46) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka mawili likiwemo la kujipatia Sh62 milioni kwa njia ya udanganyifu. Mkwepu ...
Mabehewa hayo yatajumuisha mapya 50 na mengine 20 yaliyofanyiwa ukarabati na yatatumiwa na reli ya zamani kufanya shughuli za ...
Ruvuma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia mtuhumiwa Wende Luchagula (30), Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa tuhuma ...
Kilio cha Lucia kilivuta hisia ya mambo mawili ikiwepo upweka atakaopata baada ya wajukuu zake kuanza safari ya masomo, ...
‎Kilolo. Katika kuhakikisha misitu ya asili ya safu ya milima ya Udzungwa inahifadhiwa kwa manufaa ya kizazi cha sasa na ...
Arusha. Neema Mwakalukwa (33), mkazi wa Muriet jijini Arusha amekutwa amefia ndani ya chumba cha nyumba ya kulala wageni.
Akizungumza baada ya ukaguzi wa mradi huo wa bweni litakalogharimu zaidi ya Sh174.7 milioni, Kihongosi ameagiza miradi yote ...
Meli ya hospitali ya Jeshi la Wanamaji wa PLA, Ark Peace, pia ilitembelea Tanzania mwaka 2024, ikiwa ni ziara yake ya tatu ...
Kitine aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) amefariki usiku wa kuamkia leo Julai 25, 2025 akiwa ...
Maadhimisho hayo yamefanyika katika seminari hiyo na kuhudhuriwa na maaskofu, mapadri, waseminari wa zamani na wa sasa pamoja na waumini wa kanisa hilo.
Baada ya Mkapa kuchaguliwa, Dk Kitine aliingia kwenye siasa za uchaguzi na kuwa mbunge wa Makete baada ya kifo cha Tuntemeke ...
Imeelezwa asilimia 95 ya vifo vya watoto wachanga nchini, husababishwa na kukosa hewa ya oksijeni wawapo tumboni au wakati wa ...